Category Archives: hadithi za kiswahili

Hadithi za kiswahili

Chapisha Maoni. Abunuasi na hukumu ya kijana. Hapo zamani za kale katika nchi moja Afrika, paliishi mama mmoja ambaye alikuwa mjane. Muda mfupi tu kabla ya mumewe kufariki walijaliwa mtoto mmoja wa kiume ambaye huyo mama alimlea kwa shida na taabu nyingi. Hata hivyo mama na mtoto wake walipendana ipasavyo. Hapo katika kijiji chao kulikuwa pia na tajiri mmoja ambaye alikuwa bahili na katili kweli.

Yule kijana maskini alikwenda kwa tajiri kuomba kazi. Tajiri alimwambia kwamba alikuwa na kazi kwake na angemlipa vizuri sana. Kijana alifurahi kusikia hivyo na akamwuliza tajiri kwa furaha.

Mimi nitaifanya vizuri mpaka hata wewe utafurahia. Kijana hakufikiria angeweza kuwa na pesa nyingi hivyo katika maisha yake. Tamaa ya kutaka kumsaidia mama yake ambaye wakati huo alikuwa mgonjwa na mzee, ilikuwa kubwa sana kwa hivyo akakubali bila kufikiria.

Mama aliposikia habari hizo karibu azimie kwa wasiwasi na huzuni. Mungu yuko nasi na hajatuacha hata siku moja tukalala njaa. Atazidi kufanya hivyo hivyo. Je, ukifa nitabaki na nani mwanangu? Mimi mzee sasa wala sijiwezi! Nitaweza kabisa kulala kwenye maji baridi mpaka asubuhi na siwezi kufa" Mama bado alizidi kubisha, lakini kijana alisisitiza kabisa kwamba lazima afanye hiyo kazi ambayo itawaondolea shida zote za kifedha, kama alivyoona yeye. Kwa huruma ya mama na wasiwasi juu ya mtoto wake, alikwenda karibu na ziwa pale alimotumbukizwa mtoto wake kwenye maji baridi kama barafu, Alimwona kichwa tu kimelea juu ya maji.

Mama aliwasha moto mkubwa karibu na ziwa lile kwenye ufa, ili aweze kumwangazia angalao mwangaza na kumwona. Usiku kucha mama mtu hakufunguka jicho hata dakika moja. Alimlilia Mungu amtunze mwanae asife kwa baridi. Kwa huruma ya Mwenyezi Mungu, kijana alistahimili baridi yote ile mpaka alfajiri siku ya pili.

Alikwenda kwa tajiri kupokea malipo yake lakini tajiri akamwambia. Uliniahidi kunipa shillingi laki moja nikilala katika maji yabaridi usiku mzima. Usiku mzima nilikuwa ndani ya maji hayo na shahidi wako wameshuhudia na pia mama yangu. Mamako aliyekuwashia moto ili upate joto usiku mzima. Hayo ndiyo yalikuwa maagano yetu? Sikumbuki tukiagana kwamba mama yako atakuja na kuwasha moto mkubwa wa kukupa joto kisha unidanganye umelala kwenye maji ya baridi. Unaniona mimi bwege sio?

Nenda zako, sikulipi cho chote. Kama kuna watu Abunuasi aliowazira, ni matajiri waliopenda kuwaangamiza maskini badala ya kuwasaidia. Abunuasi akamwambia kijana asiwe na wasiwasi kwamba rafiki yake Sultan atamsaidia. Akamwambia aende kwake na kumweleza habari zote. Kijana alifuata ushauri wa Abunuasi, lakini Sultani aliposikia kisa chote kutoka pande zote mbili aliamua kwamba kijana asipate malipo kamwe.

Abunuasi alishangaa na uamuzi huo wa Sultani mzima wa nchi akamwambia kijana bado asiwe na wasiwasi atapata hela zake. Kijana alimwahidi Abunuasi kumpa shillingi elfu ishirini akimsaidia. Abunuasi aliandaa karamu kubwa na akawaalika watu wengi pamoja na Sultani na yule tajiri pia.Account Options Sign in.

Top charts. New releases. Add to Wishlist. Kiswahili reading and writing app for children aged Hadithi Hadithi! Hadithi njoo!

hadithi za kiswahili

Teaching children to read Our new literacy app for 5 to 7-year-olds, Story Time! Give your child a head start in reading and writing Each story includes comprehension, spelling and letter-tracing exercises to give your child key writing skills. Independent studies have shown our apps accelerate your child's progress 4 times faster than traditional methods. Aligned to the Curriculum Covers the entire curriculum in Kiswahili in Standard 1, with stories and vocabulary matching the syllabus topics for each week of the school year.

For us by us Kenyan stories and landscapes illustrated and voiced by East African artists, and developed by East African techies and designers. Kufunza watoto kusoma Apu yetu ya kusoma na kuandika kwa watoto wa miaka mitano na saba, Story Time!

Watoto kusoma pekeyao imeonyesha kuongezeka kwa ustadi wao mara nne zaidi ya mbinu za kale za usomaji. Inaambatana na Utaratibu wa Masomo Inahusu utaratibu wote wa masomo katika Kiingereza Gredi ya kwanza, ikiwemo hadithi na maneno magumu au msamiati kulingana na mada zote za silabasi kwa kila wiki mfululizo wa mwaka katika shule. Na sisi, kwa sisi Hadithi za kikenya zimeandikwa na sauti kunakiliwa na waigagi wa Afrika Mashariki, na kuundwa na walimu na wanamiundo pia kutoka Afrika Mashariki.

Reviews Review Policy. Added app Intros. View details. Flag as inappropriate. Visit website. See more. Join Akili in visiting different places and finding a world of wonderful things! Sema Trace.

Recent Posts

Writing Alphabet for Kids - learn how to write letters of the alphabet. Akili's Alphabet —Akili and Me. Get ready for school with Akili!Aligned to the Curriculum Covers the entire curriculum for both English and Kiswahili in Foundation Level, with stories and vocabulary matching the syllabus topics for each week of the school year. Faster learning Each story includes letter tracing, spelling and sentence making exercises. Together they form a scientifically-proven pedagogy called Reading to Learn, which has shown to improve progress in reading and writing 4x faster than traditional methods.

Somali literacy in Dadaab Developed with SIL and NRC, our Somali literacy app was built for adults who had missed out on school, with stories about everyday life in Dadaab refugee camp.

An independent study found a remarkable 3X faster progress than the control group! Download our apps. Kiswahili literacy app with stories and exercises to boost your child's learning. Get Hadithi Hadithi! English literacy app with Kenyan stories and exercises to accelerate reading skills. Get Story Story! Request a demo Notice: JavaScript is required for this content.Lowell began learning Swahili from Katrina Daly Thompson inand studied abroad in Tanzania in InLowell was the recipient of a Hilldale Undergraduate Research Awardwhich enabled him to digitize, transcribe and translate the Swahili stories he collected.

InLowell was a Fulbright-Hayes fellow and returned to the Mafia islands to continue his research on Swahili storytelling. He is now a doctoral student at Harvard and conducting research in Rwanda. The Swahili stories posted on this website were collected in Chole Mjini, a small island in the Mafia Archipelago, twenty miles off of the east coast of Tanzania.

In the fall ofI, then a junior at the University of Wisconsin-Madison, was given the opportunity to conduct folkloric research in Tanzania. These stories, along with the many others which will be included in book which I hope to publish in the near future, are the result of a month-long story collecting expedition amongst the kindest, most generous people whom I have ever had the pleasure to meet — the WaChole. To the chagrin of many of the older Choleans however, the role that these stories play in the lives of their children has, in recent years, become smaller and smaller.

Chole, an island once at the crossroads of a major Indian ocean trade route, now finds itself at another crossroads, of a major cultural route: a crossroads between a very rural, isolated and traditional past, and a developing, globalizing, modernizing future. As tourists begin to stumble through the village with cameras in hand, and the village children begin to attend kindergarten at the age of three, the younger generation finds itself confronted with a radically different way of life than the one that their parents led.

In Chole, many of the things of the past are being lost or thrown away. The wazee elders of Chole have reached a near consensus. In the past our grandparents would tell stories, wonderful stories the whole night, but now it is not that way, we children would sit there and listen the whole night. But now there is no storytelling. In the evenings they come back from school, they get their food, they get into their beds.

What can you say to them?

Mrukaji - Hadithi za Kiswahili - Swahili Fairy Tales

They get their stories from school now. But luckily for me, and all of us, I would say, the elders, as elders tend to do, seem to be jumping the gun a bit, and exaggerating the devastation of these valuable traditions. Utamu kolea.

Enhance the sweetness. U niversity of W isconsin —Madison. Introduction The Swahili stories posted on this website were collected in Chole Mjini, a small island in the Mafia Archipelago, twenty miles off of the east coast of Tanzania.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya. Wakati mwanamfalme wa Kiafrika na karani mmoja mwanamwali Mzungu wa maisha ya wastani kutoka kwa wamiliki wa bima wa Lloyd, walipoamua kuoana mnamo mwakailichochea hisia mbalimbali nchini Uingereza na Afrika.

Hadithi! Hadithi!

Baada ya masomo yake, alitarajiwa kwenda nyumbani hadi katika taifa lake lililokuwa koloni ya Uingereza wakati huo ikijulikana kama Bechuanaland ambayo sasa ni Botswana, na kuoa mmoja wa watu wa kabila lake, lakini mapenzi yake kwa Williams ya libadilisha kila kitu. Serikali ya Uingereza iliingilia kati na kujaribu kupinga ndoa hiyo haua iliyomfanya Khama kufukuzwa kutoka nchi yake. Askofu wa London, William Wand, angeruhusu tu harusi inayofanyika kanisani ikiwa tu utawala nchini Uingereza ungeruhusu ndoa hiyo kufanyika.

Hilo halikufanyika. Wapenzi hao wawili walilazimika kuoana baadaye katika ofisi ya mwanasheria mkuu iliyoko Kensington huko London mnamo Septemba mwaka Waziri mkuu wa Afrika Kusini wakati huo Daniel Malan, alitaja ndoa yao kama "iliyojaa kichefuchefu" huku mwanafunzi mmoja aitwaye Julius Nyerere, ambaye baadaye alikuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, akasema "ni mojawepo ya hadithi nzuri sana za mapenzi duniani". Mmoja wa walioshuhudia alizungumza na dadake Ruth Williams, ambaye alisema harusi hiyo ilikuwa "mapenzi yaliyoshinda chuki".

Wawili hao walipata uungwaji mkubwa huku maandamano yakizidi huko Bechuanaland, kushinikiza kutambuliwa kwa ndoa hiyo ambapo baadaye walikubaliwa kurejea nchini humo mnamo mwaka baada ya watu wa kabila la Bamangwato, lake Bw Khama, walipoamua kutuma barua kwa njia ya telegram hadi kwa Malkia Elizabeth wa II. Seretse Khama aliamua kukatalia mbali utawala wa kabila lake na akaamua kuwa mkulima na mfugaji huko Serowe. Baadaye alikibuni chama cha Bechuanaland Democratic Party na akashinda uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka Akiwa Waziri mkuu wa Bechuanaland Botswana alifanikisha nchi hiyo kujipatia uhuru mwaka na akawa Rais wa kwanza wa Botswana.

hadithi za kiswahili

Ruth Williams Khama, alifahamika kama Lady Khama baada ya uhuru na alihudumu kama mkewe Rais wa Botswana kuanzia mwaka hadi Walijaliwa watoto wanne: Wa kwanza Jacqueline aliyezaliwa Bechuanaland mwaka ; Ian aliyezaliwa England mwakana pacha Anthony na Tshekedi waliozaliwa Bechuanaland waliozaliwa Habari Michezo Video Vipindi vya Redio.

Lucy na Seretse Khama: Hadithi ya mapenzi iliyoshangaza dunia 14 Septemba Haki miliki ya picha AP Image caption Seretse Khama na Ruth pamoja na wana wao Wakati mwanamfalme wa Kiafrika na karani mmoja mwanamwali Mzungu wa maisha ya wastani kutoka kwa wamiliki wa bima wa Lloyd, walipoamua kuoana mnamo mwakailichochea hisia mbalimbali nchini Uingereza na Afrika. Rejea mwanzo wa ukurasa.Hadithi kutoka neno la Kiarabu ni sehemu ya fasihi. Hasa kuna aina kuu mbili za hadithi:. Kwa maana ya pekee neno hili mara nyingi linataja hadithi za Mtume Muhammad ambazo zinahesabiwa kati ya misingi ya imani ya Uislamu.

Hadithi ina vipera vitano 5. Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru. Hasa kuna aina kuu mbili za hadithi: hadithi za matukio na wahusika wa kubuni, hadithi za matukio ya kubuni na wahusika wa kweli au kinyume chake.

Hadithi ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nadharia. Hadithi za kubuni [ hariri hariri chanzo ] Ngano za mazimwi : Wahusika wakuu huwa ni mazimwi ambao hupewa sifa zinazowatenga na binadamu wa kawaida. Ngano za mashujaa : Husimulia visa na vitendo na matukio ya kishujaa yanayohusiana na shujaa wa jamii fulani.

Ngano za usuli : Hutoa asili au chanzo cha jambo. Hekaya : Hizi ni hadithi za kijanja Ghurufa : Wahusika huwa wanyama wanaowakilisha wanadamu wenye sifa za wanadamu hao. Ngano za kimafumbo : Huwa na mafumbo yenye maana nyingine ya ndani. Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hadithi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?

Hadithi! Hadithi!

Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Jamii : Mbegu za lugha Fasihi.

Maeneo ya wiki Makala Majadiliano. Mitazamo Soma Hariri Hariri chanzo Fungua historia. Miradi mingine Wikimedia Commons. Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 6 Junisaa Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya Creative Commons Attribution-ShareAlike License ; matakwa mengine yanaweza kutakiwa. Tazama maelezo zaidi ya Matakwa ya Utumiaji.Haya sasa wadau. Kinaingia rasmi sokoni Jumatatu hii ya tarehe 4 Apriljipatie nakala yako. Ni siku ya jumapili, siku ya mapunziko kwa waatumisi wa nafasi kama yake.

Yeye ni katibu muhtasi, pia ni mhazini kwenye shirika moja la kiserikali lenye ofisi zake kwenye jengo la JM Mall lililopo Samora Avenue kakikati ya jiji la Dar es Salaam. Alipepesa macho kisha akageuza kichwa upande kuangalia saa ya ukutani. Inakaribia saa mbili unusu. Mwili aliuhisi mchovu kwani jana alikunywa bia zaidi ya nne wakati kiwango chake cha kawada ni chini ya bia tatu na akalala saa nane wakati kiwango chake cha kawaida ni si zaidi ya saa sita.

Alikuwa akimsubiri mumewe ambaye alitarajiwa kurejea toka safari jioni ya jana. Baada ya muito wa tatu alinyoosha mkono na kuichukua simu kwenye stuli kando ya kitanda. Alihisi ni mume wake, lakini alipoangalia jina la mpigaji, alitabasamu. Alijikohoza kusafisha koo. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori inayomhusu Dada Jesca, mhazini wetu pale ofisini. Kisa kilianza kwa kuwa aliwahi kutoka kazini kuliko ilivyo kawaida yake, na kama ilivyo ada ya kamera yetu ya simulizi kutoka jikoni ikamfuatilia kujua kulikoni?!!

Si unajua tena…. Basi siku ile, kwanza Dada Jesca alikuja akiwa ameupara na kupendeza kwelikweli ingawa kwa kweli maumbile ya mtoto wa kike huyu hata akivaa maturubai anavutia, pili aliomba ruhusa mapema sana aweze kurudi nyumbani kwa kuvunga kuwa eti anajisika vibaya, mmh… kumbe mumewe alikuwa yu njiani kurudi toka safari ya wiki tatu na alikuwa ana hamu naye kupita maelezo.

Tukumbuke kuwa ni miezi miwili tu imepita tangu Dada Jesca alipofunga pingu za maisha na kijana Badi na kuanza naye maisha mapya, kwenye nyumba mpya. Mume wake ni mfanyibiashara na alikuwa safarini kwa kipindi cha wiki tatu zilizopita. Skip to content Home About. Dada Jesca. Wasiliana nami kwa na Weka mbali na watoto.

hadithi za kiswahili

Like this: Like Loading Mtunzi; Issa S. Si unajua tena… Basi siku ile, kwanza Dada Jesca alikuja akiwa ameupara na kupendeza kwelikweli ingawa kwa kweli maumbile ya mtoto wa kike huyu hata akivaa maturubai anavutia, pili aliomba ruhusa mapema sana aweze kurudi nyumbani kwa kuvunga kuwa eti anajisika vibaya, mmh… kumbe mumewe alikuwa yu njiani kurudi toka safari ya wiki tatu na alikuwa ana hamu naye kupita maelezo.

By continuing to use this website, you agree to their use. To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.


thoughts on “Hadithi za kiswahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *